Sunday, July 1, 2012

JENGO LA GHOROFA LASHIKA MOTO DAR ES SALAAM









Jengo la Ghorofa lililopo mitaa ya Kariakoo na Livingstone, jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea. (Picha na Emmanuel Ndege)

Chanzo: Daily Nkoromo Blog