Friday, January 11, 2013

TAARIFA YA UHAMISHO WA WATUMISHI WALIOOMBA KUHAMA KWA KIPINDI CHA JUNI - DISEMBA 2012 KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA, TANZANIA BARA




TAARIFA YA UHAMISHO WA WATUMISHI WALIOOMBA KUHAMA
KWA KIPINDI CHA JUNI - DISEMBA 2012 KATIKA MAMLAKA ZA
SERIKALI ZA MITAA, TANZANIA BARA
1.0 Utangulizi
OWM-TAMISEMI, imeendelea na utaratibu wake wa kushughulikia maombi
ya Uhamisho kwa watumishi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mwezi
Juni na Desemba kila mwaka. Maombi yaliyopokelewa kuanzia mwezi
Januari mpaka Juni hushughulikiwa mwezi Juni na maombi yaliyopokelewa
kati ya Julai mpaka Desemba hushughulikiwa mwezi Desemba.

Kwa habari zaidi ingia <<< Hapa