Tuesday, May 19, 2020
Monday, April 24, 2017
Kampuni inayojishughulisha na utngenezaji wa kompyuta na vifaa vya kompyuta ya Dell imetangaza kutoa kioo chenye uwezo wa kuonesha video za 4K yaani HDR. Hii ni aina ya kioo au Monitor inayotumika kwenye kompyuta yenye uwezo wa HDR 4K hii ni teknolojia ya kisasa hasa kwenye mambo ya video. Inatarajiwa kuwa madukani kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2017. Bei yake ni Dola za kimarekani 1,999.99
Credit to The Verge
gkamtu
Friday, June 17, 2016
Habari za majukumu wadau wangu
Muwa ni moja kati ya matunda ambayo huwa yanaokana na shina lake yaani shina ndio tunda lenyewe linaloliwa na watu pia na wanyama pori kama vile nyani.
Hii juisi ya miwa husaidia mwili kupata vitamini C na kwa ajili ya kuupa kinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
Pia hii juisi hutumika kama dawa kwa wale watu wenye ugonjwa wa Manjano na wale wenye kisukari cha kushuka.
Na huo ndio muwa na shughuli zake mbalimbali..
gkamtu
Monday, June 6, 2016
Na Mwandishi Wetu.
Wataalamu wa afya na tiba asili wanasema pindi unapokuwa unatumia juisi ya limau kama mbadala wa chai husaidia kusafisha figo, kufanya mwili umeng'enye chakula vizuri, kuupatia mwili vitamini c na kuufanya mwili kupata hamu ya kula pia inakukinga na maradhi yanayosababishwa na sukari tunayoitumia kwenye chai.
Vilevile limao mbali nakutumiwa kama juisi hutumika na kupunguza ukali wa kilevi kwenye pombe kali kama vile whisky, spirits, gins au brandy pindi unapokuwa unaichanganya inakufanya usijikie vibaya au usilewe sana wala kudhuru mwili wako pindi unapoinywa hiyo pombe.
gkamtu
Thursday, June 2, 2016
Kampuni ya Facebook kutoka marekani imeongeza wigo wa matangazo kupitia app yake ya kushare picha na video fupi ya Instagram kama njia nyingine ya kutangaza biashara mbalimbali za mtandaoni.
Kupata habari kwa undani zaidi ingia >>> HAPA >>>
gkamtu
Subscribe to:
Posts (Atom)