Tuesday, May 19, 2020

19
May

COVID19 DAILY STATS

Find more statistics at Statist...

Monday, April 24, 2017

24
Apr

Tech News: Dell watangaza Aina mpya ya Monitor HDR

Kampuni inayojishughulisha na utngenezaji wa kompyuta na vifaa vya kompyuta ya Dell imetangaza kutoa kioo chenye uwezo wa kuonesha video za 4K yaani HDR. Hii ni aina ya kioo au Monitor inayotumika kwenye kompyuta yenye uwezo wa HDR 4K hii ni teknolojia ya kisasa hasa kwenye mambo ya video. Inatarajiwa kuwa madukani kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2017. Bei yake ni Dola...

Friday, June 17, 2016

17
Jun

Juisi ya Miwa

Habari za majukumu wadau wangu Muwa ni moja kati ya matunda ambayo huwa yanaokana na shina lake yaani shina ndio tunda lenyewe linaloliwa na watu pia na wanyama pori kama vile nyani. Hii juisi ya miwa husaidia mwili kupata vitamini C na kwa ajili ya kuupa kinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Pia hii juisi hutumika kama dawa kwa wale watu wenye ugonjwa wa Manjano...

Monday, June 6, 2016

06
Jun

Juisi ya Limau kwa Afya yako

  Na Mwandishi Wetu. Wataalamu wa afya na tiba asili wanasema pindi unapokuwa unatumia juisi ya limau kama mbadala wa chai husaidia kusafisha figo, kufanya mwili umeng'enye chakula vizuri, kuupatia mwili vitamini c na kuufanya mwili kupata hamu ya kula pia inakukinga na maradhi yanayosababishwa na sukari tunayoitumia kwenye chai. Vilevile limao mbali nakutumiwa...

Friday, June 3, 2016

03
Jun

Visa waja na pete ya manunuzi

 Kampuni ya visa inayojihusisha na huduma ya kutoa kadi za manunuzi na malipo imetengeza pete maalum inayofanya. Kazi kama kadi za manunuzi ambapo itatolewa kwa majaribio huko brazil kwa wanamichezo washiriki wa michuano ya olimpiki mwaka huu. Credit to Theverge.com...

Thursday, June 2, 2016

02
Jun

App ya Instagram na Matangazo ya Biashara

Kampuni ya Facebook kutoka marekani imeongeza wigo wa matangazo kupitia app yake ya kushare picha na video fupi ya Instagram kama njia nyingine ya kutangaza biashara mbalimbali za mtandaoni. Kupata habari kwa undani zaidi ingia >>> HAPA >>&g...