Monday, April 24, 2017

Tech News: Dell watangaza Aina mpya ya Monitor HDR



Kampuni inayojishughulisha na utngenezaji wa kompyuta na vifaa vya kompyuta ya Dell imetangaza kutoa kioo chenye uwezo wa kuonesha video za 4K yaani HDR. Hii ni aina ya kioo au Monitor inayotumika kwenye kompyuta yenye uwezo wa HDR 4K hii ni teknolojia ya kisasa hasa kwenye mambo ya video. Inatarajiwa kuwa madukani kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2017. Bei yake ni Dola za kimarekani 1,999.99

  
Credit to The Verge