Kampuni ya visa inayojihusisha na huduma ya kutoa kadi za manunuzi na
malipo imetengeza pete maalum inayofanya. Kazi kama kadi za manunuzi
ambapo itatolewa kwa majaribio huko brazil kwa wanamichezo washiriki wa
michuano ya olimpiki mwaka huu.
Credit to Theverge.com