Monday, June 6, 2016

Juisi ya Limau kwa Afya yako





 
Na Mwandishi Wetu.

Wataalamu wa afya na tiba asili wanasema pindi unapokuwa unatumia juisi ya limau kama mbadala wa chai husaidia kusafisha figo, kufanya mwili umeng'enye chakula vizuri, kuupatia mwili vitamini c na kuufanya mwili kupata hamu ya kula pia inakukinga na maradhi yanayosababishwa na sukari tunayoitumia kwenye chai.



Vilevile limao mbali nakutumiwa kama juisi hutumika na kupunguza ukali wa kilevi kwenye pombe kali kama vile whisky, spirits, gins au brandy pindi unapokuwa unaichanganya inakufanya usijikie vibaya au usilewe sana wala kudhuru mwili wako pindi unapoinywa hiyo pombe.