Friday, June 17, 2016

Juisi ya Miwa


Habari za majukumu wadau wangu

Muwa ni moja kati ya matunda ambayo huwa yanaokana na shina lake yaani shina ndio tunda lenyewe linaloliwa na watu pia na wanyama pori kama vile nyani.

Hii juisi ya miwa husaidia mwili kupata vitamini C na kwa ajili ya kuupa kinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Pia hii juisi hutumika kama dawa kwa wale watu wenye ugonjwa wa Manjano na wale wenye kisukari cha kushuka.

Na huo ndio muwa na shughuli zake mbalimbali..