Saturday, October 13, 2012

Wanafunzi waliokosa Mikopo HESLB Jihadharini na Tapeli huyu!!!

Kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa Deus Torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke kwenye second batch. Lakini napenda kuwaatahadharisha huyu mtu hafanyi kazi hapa bodi wala hafahamiki ofisini kwetu, ila aliwahi kufanya kazi kwenye ofisi ya tirdo iliyopo karibu na helsb. Na namba anazotumia ni 0716 28 67 42 

Na picha zake hizi hapa.