Saturday, October 13, 2012

BREAK NEWZZ>>>>>>> Kamanda Barlow Aaga Dunia..

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio linalohusishwa na ujambazi.

Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili. Hata hivyo, taarifa hizo bado hazijaweza kuchunguzwa na vyombo vya habari.

Fuatilia - Breaking News: RPC Mwanza Liberatus Barlow auawa! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

Source: Fikra Pevu.CoM