Tuesday, August 21, 2012

Apoteza Ubunge Dr Kafumu..




Dk. Kafumu apoteza ubunge
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora nchini Tanzania leo imemvua wadhifa wa ubunge, Mbunge wa jimbo la Igunga kwa tiketi ya chama cha CCM, Dk.Dalali Peter Kafumu.

Source: IPPMedia.