Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe...Mzee Bob Makani amefariki. R.I.P Bob Makani Source: Kutoka kwa ndugu zake.