Wednesday, July 18, 2012

BREAKING NEWS, Meli yazama na abiria 400muda huu ikielekea zanzibar


picha ya boti ya seagull


..na habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Meli ya abiria (Wengine wanasema MV. Karama lakini habari nyingine zinasema ni seagul) ikiwa na watu 400 toka Dar es Salaam kwenda Zanzibar imezama muda huu karibu na Kisiwa cha Chumbe, waokoaji na wanahabari zaidi wameondoka kuelekea eneo la tukio, kwa taarifa zaidi uendelee kutupia jicho hapa!


source: http://mdimuz.blogspot.com/2012/07/breaking-news-meli-yazama-na-abiria.html