Katika michuano ya UEFA champions league hatua ya nusu fainali iliyochezwa Ujerumani katika uwanja wa allienz arena, timu ya Bayern Munich ilishindwa kufudhu kuingia fainali ya michuano hiyp baada ya kufunga goli 2-1 ambapo magoli ya bayern yalifungwa na Alonso pamoja na Lewandoski huku Atletico Madrid likifungwa na griezmann ambapo katika aggregate wametoka 2-2.