Tuesday, October 16, 2012

Nafasi za Kuvolunteer katika Taasisi Mbalimbali.

Neema Recruitment Agency
 
Nafasi za Kuvolunteer katika Taasisi Mbalimbali.
Email Address: Click to Email
Phone: + 255 782 405 936
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Oct 16, 2012
Start Date: Nov 01, 2012


Position Description:
Neema Recruitment Agency ni kampuni ya uwakala wa kuwaunganisha waajiri na waajiriwa. Kampuni inatangaza nafasi mbalimbali za kuvolunteer katika Taasisi mbalimbali zisizokuwa za kiserikali zilizopo katika wilaya mbalimbali nchini Tanzania, na nafasi zilizopo ni kuvolunteer katika maeneo mbalimbali kama vile mazingira, elimu, yatima, ukimwi nakadhalika.
SIFA ZA MWOMBAJI NAFASI.
Mtanzania mwenye elimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
Tuma maombi yako kwenda kwa :
Managing Director,
Neema Recruitment Agency,
S.L.P 35584,
DAR ES SALAAM.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe : neemarecruitmentagency@gmail.com.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 OKTOBA 2012.




Application Instructions:
Kwa maelezo zaidi piga, 0783405936.


Website: Go to Website