Saturday, September 13, 2008

13
Sep

KWA KIKAPU TUTATOKA AU NDO....

Huyu ni mchezaji wa mchezo huu wa kikapu kutoka Marekani akitoa mafunzo ya mchezo huo pale viwanja vya Don Bosco Upanga.