Mtandao wa habari, ajira, michezo na vituko vya mitandaoni
Pages - Menu
▼
Sunday, June 1, 2014
Stars Yasonga mbele hatua za kufuzu AFCON
Na Mwandishi wetu
Ni baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya Zimbabwe. Huku magoli ya stars yakifungwa na Nadir Haroub pamoja na Thomas Ulimwengu..