Wednesday, July 18, 2012

Mh J M Kikwete kufungua ofisi za ALMA Dar


Rais J M Kikwete

Leo Rais amefungua ofisi ya ALMA (African Leadership Malaria Alliance) katika majengo ya CEEMI hapo NIMR. Hiki ni chama kilichoanzishwa na marais wa afrika kwa ajili ya kupunguza na kuondoa malaria katika nchi za Africa. Hiki chama kilianzishwa mnamo mwaka 2009 na mwenyekiti wake wa kwanza ni Rais J Kikwete wa Tanzania.